Jumanne, 11 Juni 2013

suala la wanawake wa kazi za ndani kuharibu familia za mabosi wao.,chanzo ni nini?

wanawake wanatakiwa kufanya nini ...........................................................


nionavyo mimi:wasichana wa kazi wanatakiwa kupewa elimu ya maisha na kuelezwa maisha ninini na nafasi zao katika familia kwa na usha uri huu anatakiwa apewe kwa baba na mama ni muhimu sana mama kuongea na msichana huyu kila wakati na pale tu anapoona mabadiliko katika mazingira ya kawaida ........ni muhimu sana kutembelea kwa wazazi wa msichana wa kazi ili kuweka mazingira ya kifamilia mazuri .............usafi ,lishe bora ,elimu,na ushirikiano haya ni mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika semina au elimu ya msichana wa kazi ..............

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni