Jumanne, 11 Juni 2013

nyumba ndogo......

kuna fikra hii mbaya kwamba nyumba ndogo wanajua sana kuhendo au mapenzi.............................si kweli hata kidogo ni hivi .............wanaojua mapenzi ni wake halali ndo mana wao huwa ni ..........
  • walezi
  • washauri
  • wajengafamilia
  • wauguzi
  • wapenzi
  • wavumilivu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni