Je wajua kuwa Celyn na liam ni wapenzi kweli kwel?
Kim chiu au (Celyn)
kaa tulivyomzoea na kama ambavyo amejipatia umaarufu katika tamthilia ya ina
kapatid anak au( her mother's daughter) ni binti mdogo
mwenye umri wa miaka 23 tu ,kwani
amezaliwa mnamo mwaka 1990 mwezi april tarehe 23 amejizolea umaarufu mkubwa
sana baada ya kuanza kuigiza filamu za vichekesho 2011 ambayo iliitwa My Binondo Girl ambayo ilimpa umaarufu
sana na akiwemo pia mpenzi wake Xian
lim ambae kwa sasa anajulikana kama liam kwemye tamthilia hii ya (her mother's daughter)ambayo wameigiza kama marafiki
wanao gombana ovyo kila wakionana
Celyn akiwa na
mpenzi wake liam
Kama
ilivyo sasa kwenye tamthilia ceyln si msemaji wa matatizo yake na ndo ilivyo
kwenye maisha yake Celyn pia si msemaji wa shida zake zinazo msibu kwa watu na vitu anavyovipendelea celyn ni pamoja na
kusafiri ,mitindo, na michezo pia tamthilia hii ya her mother's daughter inafanya vizuri sana ulimwenguni na imempatia tuzo ya Philippine's Yahoo OMG! awards, 2013
Pia
Celyn hajaanza kuigiza leo na wala hii
siyo Tamthilia yake ya kwanza kuonekana ameshaigiza thamthilia nyingi na
kutumia majina mengi tofauti tofauti hivyo hata siku ndugu msomaji utakapo
bahatika kwenda philipino na kukutana na binti huyu mrembo hutotumia jina la
celyn kama tulivyo zoea kwani ana majina meeengi sana kutokana na tamthilia
hizo nyingi kuigiza
Baadhi ya kazi ambazo amewahi kuzifanya na majina ambayo amewahi kutumia
My Fairy
Kasambahay akijiita
Elyza hii tuijuayo sisi ambayo
ameigiza mwaka 2012-2013 Ina, Kapatid, Anak ametumia jina la Celyn
Marasigan-Lagdameo mwaka 2012 aliigiza
tamthilia iitwayo Maalaala
Mo Kaya: Kalendaryo
akitumia jina la Pauline Chaves mwaka 2011-2012 akiigiza nyingine iitwayo My
Binondo Girl Jade
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni