Alhamisi, 9 Januari 2014


Elisa asingiziwa  kumuua  mdogo wake:

Carmina  aanguka kwenye pool nakupata maumivu makali  tumboni  baada  ya  hapo akakimbizwa  haraka  hospital  nakupelekwa moja kwa moja  odi  ya  wazazi  kutokana  na  kuanguka  anapataa  uchungu  mkali  sana na hatimaye  kujifungua  mtoto  wa  kiume  alioleta  furaha kwa dakika  chache  kwani  mtoto  alizaliwa  akiwa  amesha  pata matatizo .

 Elisa kwa furaha  alionayo  akaenda  kumtazama  mdogo wake  kwa  lengo la kumtakia  afya nzuri  na  akue  haraka  ili  waweze  kucheza pamoja  na  marafiki  zake  pia,ghafla  mtoto  akaacha  kupumua  huku   elisa  akidhani kuwa  amelala 

 muua  na  kutaka   kumpiga   elisa  huku  mama  mlezi  wa elisa  akiamua  na  elisa kuondoka  hospitalini  hapo  huku akili  kwa  kumpoteza  mtoto  wake  .


         Carmina amshtakia  elisa kwa agusto kwamba  elisa  amefanikiwa  kummaliza  mtoto wake kwani  mara ya  kwanza  alimsukumiza    na  kuanguka   lakini  hakufanikiwa  hivyo   sasa  hivi ameamua  kumuua kwa mikono  yake,agusto  akionekana   amekasirishwa  na jambo  hilo na kuanza  kumfikiria  vibaya  elisa,na hapo  ndipo  agusto kuanza kujiona   mwanaume asie kuwa  na bahati   kwani pale  alipoanza tu kuwa na mtototo  wake wa kwanza  wa   kiume  ghafla tu  amefariki.

        Watu  waanza  kusambaza  habari  kuhusu  kifo  cha mtoto  wa  carmina na hatimae   kumfikia mama wa                  na  kuona   huo ndo  muda  mzuri   wa  kwenda  kumkashifu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni