utakuta watu wamesimamaa kituoni zaidi ya LISAA na mtu anapigania ili akae kutokana na umbali wa sehemu anayo kwenda sasa kunawatu wanakaa pembeni sasa wakiona gari imesha jaa ndo wanakuja kupanda na wanaomba kukaa kwa sababu hawajisikii vizuri na hawa watu wapo hapo kituoni kila SIKU NA KILA SIKU WANAJISIKI WAO VIBAYA TUWAPISHE Y?
Jumanne, 25 Juni 2013
jinsi mtoto wa africa alivyopendeza happy bithday k(16/06/2013) miaka 16
hongera kuruthum umdada sasa uache kudeka
familia ya maftah
maftah mwenyewe kijana wa zamani
vijana wa zamani hawa
ma sisdooo
rhumba,rhumba,
wapi mbili abel
hakuna kugusana
hakuna kilichokosekana
babuu na mjukuu
salut..........
kitu cha ugojwa
dingi na mabinti
mmmh...........hata kama
wakati MUHIMU
- mungu awabariki
Jumamosi, 22 Juni 2013
kwa nini wanaoumizwa sana na mapenzi huwa wanawake jamani jibu ni hili
huwa tuna mapenzi ya kweli ,wavumilivu,ndo mana maumivu yetu katika mapenzi huwa makali sana
cmu huwa ni changamoto kubwa sana kwenye mahusiano
upweke
kilio cha mapenzi
kukata tamaa
machozi ya kila saa
cmu huwa ni changamoto kubwa sana kwenye mahusiano
kilio cha mapenzi
kukata tamaa
machozi ya kila saa
Alhamisi, 20 Juni 2013
Jumanne, 11 Juni 2013
nyumba ndogo......
kuna fikra hii mbaya kwamba nyumba ndogo wanajua sana kuhendo au mapenzi.............................si kweli hata kidogo ni hivi .............wanaojua mapenzi ni wake halali ndo mana wao huwa ni ..........
- walezi
- washauri
- wajengafamilia
- wauguzi
- wapenzi
- wavumilivu
suala la wanawake wa kazi za ndani kuharibu familia za mabosi wao.,chanzo ni nini?
wanawake wanatakiwa kufanya nini ...........................................................
nionavyo mimi:wasichana wa kazi wanatakiwa kupewa elimu ya maisha na kuelezwa maisha ninini na nafasi zao katika familia kwa na usha uri huu anatakiwa apewe kwa baba na mama ni muhimu sana mama kuongea na msichana huyu kila wakati na pale tu anapoona mabadiliko katika mazingira ya kawaida ........ni muhimu sana kutembelea kwa wazazi wa msichana wa kazi ili kuweka mazingira ya kifamilia mazuri .............usafi ,lishe bora ,elimu,na ushirikiano haya ni mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika semina au elimu ya msichana wa kazi ..............
Jumatatu, 10 Juni 2013
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)