|
Ijumaa, 17 Januari 2014
Do you pray ?? NO….WHY ?????
Jumatano, 15 Januari 2014
Jumanne, 14 Januari 2014
Happy Maulid
day:
Mawlid (Arabic:
مَولِد
النَّبِي mawlidu
n-nabiyyi, “Birth of the Prophet”, sometimes simply called in colloquial Arabic مولد mawlid, mevlid, mevlit, mulud among
other vernacular pronunciations; sometimes ميلاد mīlād) is the observance of the
birthday of the Islamic prophet Muhammadwhich
occurs in Rabi' al-awwal, the third month in the Islamic calendar.[1]
The
term Mawlid is also used in some parts of the world, such as Egypt, as a generic term
for the birthday celebrations of other historical religious figures such as Sufi saints
……….Alhamisi, 9 Januari 2014
Elisa asingiziwa kumuua mdogo wake:
Carmina aanguka kwenye
pool nakupata maumivu makali
tumboni baada ya
hapo akakimbizwa haraka hospital
nakupelekwa moja kwa moja
odi ya wazazi
kutokana na kuanguka
anapataa uchungu mkali
sana na hatimaye kujifungua mtoto
wa kiume alioleta
furaha kwa dakika chache kwani
mtoto alizaliwa akiwa
amesha pata matatizo .
Elisa kwa furaha alionayo
akaenda kumtazama mdogo wake
kwa lengo la kumtakia afya nzuri
na akue haraka
ili waweze kucheza pamoja na
marafiki zake pia,ghafla
mtoto akaacha kupumua
huku elisa akidhani kuwa
amelala
muua na
kutaka kumpiga elisa
huku mama mlezi
wa elisa akiamua na
elisa kuondoka hospitalini hapo
huku akili kwa kumpoteza
mtoto wake .
Carmina
amshtakia elisa kwa agusto kwamba elisa
amefanikiwa kummaliza mtoto wake kwani mara ya
kwanza alimsukumiza na
kuanguka lakini hakufanikiwa
hivyo sasa hivi ameamua
kumuua kwa mikono
yake,agusto akionekana amekasirishwa na jambo
hilo na kuanza kumfikiria vibaya
elisa,na hapo ndipo agusto kuanza kujiona mwanaume asie kuwa na bahati
kwani pale alipoanza tu kuwa na
mtototo wake wa kwanza wa
kiume ghafla tu amefariki.
Jumanne, 31 Desemba 2013
Daniela msichana anayeteseka na penzi la Migual:
Daniela msichana ambaye ni rafiki wa Ana Paula ambaye pia wamesoma nae chuo kimoja cha uuguzi,mwenye mapenzi ya dhati na kijana Migual kaka yake na Ana Paula mapenzi ambayo yanampa wakati mgumu sana kutokana na mpenzi wake huyo (Migual) kuwa mwanaume asiyekuwa na msimamo wa kimaisha kutokana na upeo wake wa kimawazo kuwa mdogo hali inayopelekea kumpa majaribu dada yake Ana Paula kwa matukio yake mabaya ya kila mara.
Kitu ambacho pia kina mponza zaidi Migual ni Ulevi ambao hauna maana ambao umekuwa ukimletea matatizo kila kukicha na kufanya maisha yake kuwa kama mzigo kwa Ana Paula lakini pamoja na matatizo hayo mengi kwa dada yake huyo,Ana Paula amekuwa bado ni msaada mkubwa sana kwa kaka yake huyo ambaye ndiye aliyesababisha kwa kiasi kikubwa Ana Paula kusain mkataba wa ndoa na Rogelio
Lakini pamoja na misuko suko aliyonayo kijana Migual bado mwanaume katili Bruno anaamua kutumia mwanya wa matatizo yake Migual na kumtumia katika mambo yake mengi ikiwemo na kupata siri za maisha yao ya nyuma kabla ya Ana Paula hajaolewa na Rogelio kutokana na udhaifu wa akili ya Migual ,Bruno anakuwa anapata nafasi ya kupata mambo mengi ya siri kwa Migual mara baada ya kumlewesha .
Daniela akiwa kama mwanamke mwenye msimamo na Mapenzi yake kwa Migual kwani ni mara nyingi amejikuta katika matatizo makubwa hii ni kutokana tu na kujulikana ni mpenzi wa Migual pamoja na matizo mengine ni pamoja na kwenda jela mara kwa mara ili kumuangalia mpenzi wake huyo (MIgual) pale anapokuwa ameswekwa jela lakini pia Migual anakua akitengana tengana na mpenzi wake huyo(Daniela) kwa kisingizio kwamba hawezi kuwa na furaha kwake .
Lakini kwa misuko yote kwa sasa penzi limerudia tena kwa kasi ya ajabu hii ni baada ya Migual kugundua kutokana na mapungufu aliyonayo hakuna mwanamke atakaye mpenda kwa Dhati kama ampendavyo sasa Daniela
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)